Ukumbi wa Siasa:
Leo nimeona nije ki siasa zaidi, na hii ni kutokana na mazingira yanayotuzunguka. Kazi zetu hizi zinahitaji kusoma mazingira na kuelewa jamii kwa wakati husika wanahitaji nini? Kwa mfano jamii yangu kwa sasa inahitaji kuwa sawa na mambo fulani fulani ki siasa.
Hii ni dhahiri kwamba jamii hii inahitaji uelewa mkubwa katika mambo makuu mawili:
*Uelewa kuhusu elimu ya sensa (kuhesabiwa)
*Uelewa kuhusu elimu ya Katiba ya nchi.
Kimsingi nitajikita zaidi katika mambo hayo mawili japo nimeleta mada pekee kwa sasa, somo hili litaendelea wakati mwingine.
Sunday, 17 June 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)